Bunge la Ulaya lamtambua Guaido kuwa kaimu rais Venezuela

Wabunge wa Umoja wa Ulaya walipiga kura 429 kumuunga mkono Guaido dhidi ya 104 waliopinga, huku 88 wakijizuia kupiga katika kikao maalum mjini Brussels. Kura hiyo ni ya kiishara tu, kwa sababu bunge hilo halina usemi katika sera ya kigeni ya Umoja wa Ulaya. Bunge hilo limetoa wito kwa mataifa 28 wanachama wa Umoja wa […]

Italia yaingia katika mdororo wa kiuchumi

Wakati  huo  huo kasi ya  ustawi  wa uchumi  wa mataifa  ya  kanda  ya  sarafu  ya  euro  imepungua  sana  hadi asilimia  1.8 katika  mwaka  2018. bandari ya Italia ya Genua ikiwa na makontena Data zinaonesha  kwamba  kupungua  kwa  mauzo  ya  nje  nchini Ujerumani  na  wasi  wasi  kuhusiana  na   kujitoa  kwa  Uingereza katika  Umoja  wa  Ulaya  maarufu  […]

Rais Bashir asema mitandao ya kijamii haiwezi kuwaondoa marais uongozini

Waandaaji wa maandamano ya kuipinga serikali ya Bashir yalioitikisa Sudan kwa wiki kadhaa, wametumia mitandao ya kijamii kama Facebook, WhatsApp na Twitter, kushinikiza maandamano hayo. Rais wa Sudan Omar al-Bashir “Kubadilisha serikali au marais hakuwezi kufanyika kupitia WhatsApp au Facebook,” kunaweza tu kufanyika kupitia uchaguzi, ni watu pekee ndio wanaoamua nani atakuwa rais.” alisema rais […]

Benki ya dunia yaionya Tanzania

Ripoti mpya iliyotolewa na Benki ya Dunia imesema Tanzania inaweza kunufaika zaidi kiuchumi iwapo itachukua hatua za kuwaendeleza wasichana kielimu na kukomesha tatizo la ndoa za utotoni. Imesema, hatua hizo pia zitaweza kuchangia kuchochea maendeleo na kukabiliana na umasikini nchini humo. Kulingana na ripoti hiyo, kinyume na hapo kuendelezwa kwa ndoa za utotoni na kukosekana […]

Marais kujadili pendekezo la muundo wa serikali kuu EAC

Masuala kadhaa ikiwemo uwezekano wa kuwa na serikali kuu inayo zijumuisha nchi 6 wanachama yatazungumziwa kwenye kikao hicho. Chanzo kutoka ofisi ya katibu mkuu wa EAC kinasema Marais wa Tanzania, Uganda, Kenya na Rwanda wanatarajiwa kuhudhuria mkutano huo wa juu wa viongozi hao wa Afrika Mashariki. Burundi itawakilishwa na makamu wa Rais Gaston Sindimwo ambaye […]

Tanzania : Mbowe, Matiko wa Chadema warejeshwa rumande

Mbowe na Matiko walifutiwa dhamana zao Novemba 23, 2018 na Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri baada ya kukiuka masharti ya dhamana. Washtakiwa wengine katika kesi hiyo ni mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa; mbunge wa Kibamba, John Mnyika; katibu mkuu wa Chadema, Dk Vincent Mashinji;mbunge wa Bunda, Ester Bulaya. Wengine ni naibu makatibu wakuu […]

Newcastle yavunja rekodi ya uhamisho kwa kumsajili Miguel Almiron kutoka Atlanta

Haki miliki ya picha Reuters Newcastle imevunja rekodi yake ya miaka 14 ya uhamisho kwa kumsajili mchezaji raia wa Paraguay Miguel Almiron kutoka Atlanta United. Haya ni makubaliano makubwa waliowahi kuyafikia kufikia sasa. Miguel Almiron anajiunga na Newcastle kwa mkataba wa miaka mitano na nusu. “Nina furaha sana na hamu kubwa kuanza kucheza na kukutana […]

Baba akabiliwa na kibarua kigumu kuhusu uhai wa watoto zake pacha

Marieme na Ndeye ni mapacha walioungana. Walizaliwa Senegal,miaka miwili iyopita lakini wanaishi na baba yao, Ibrahima Ndiaye mjini Wales. Bw. Ndiaye anakabiliwa na kibarua kigumu cha kuamua ikiwa awaache watoto hawa wawili kufariki au kuwaruhusu madaktari kuwatenganisha. Kuna hofu kubwa mmoja wao huenda akafariki lakini anasema hawezi kuua mmoja wa watoto wake ili kuyanusuru maisha […]

Je ni kweli vijana Uganda wana uraibu wa mchezo wa kamari?

Haki miliki ya picha Getty Images Michezo ya kamari inaongezeka Afrik amashariki – kwa simu, kwa kompyuta na katika maduka ya kamari. Ni biashara kubwa na inaleta mapato ya kodi yanayohitajika pakubwa na serikali. lakini kuna wasiwasi unaoongezeka Uganda kuhusu athari yake kwa jamii. Serikali imetangaza udhibiti mpya katika biashara hiyo, ulionuiwa kuzuia shughuli za […]