Korea Kaskazini kutobadili msimamo kufuatia mazungumzo yake na Marekani

Haki miliki ya picha Reuters Image caption Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Korea Kaskazini Ri Yong Ho Waziri wa Mambo ya nchi za nje wa Korea Kaskazini amesema msimamo wa nchi yake hautabadilika hata ikiwa Marekani itataka mazungumzo zaidi. Ri Yong Hon ameyasema hayo baada ya kumalizika kwa Mkutano kati ya Rais […]

Kashfa ya Deni la Msumbiji : Marekani yataka Chang awajibishwe

Msumbiji inamtaka waziri huyo anayeshikiliwa Afrika Kusini kurudishwa nyumbani. Waziri Chang alikamatwa Johanesburg akielekea Dubai na ripoti ya mwandishi wetu huko Afrika Kusini, Anita Powell, inaeleza kwamba mahakama moja ilisikiliza kesi yake na mawakili wa Msumbiji na Marekani walitowa hoja zao kuthibitisha nchi gani anahitajika zaidi. Kesi inayohusisha mabara manne Marekani inamtaka kwa kuhusika katika […]

Mazungumzo ya Trump na Kim yavunjika baada ya Korea Kaskazini kutaka kuondolewa vikwazo

Haki miliki ya picha Getty Images Image caption Kiongozi wa Korea Kaskazini na Rais wa Marekani Donald Trump Mkutano kati ya Rais wa Marekani, Donald Trump na Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un umemalizika bila kufikia makubaliano baada ya Marekani kukataa kutoa nafuu ya vikwazo kwa Korea Kaskazini, Rais wa Marekani ameeleza. ”Ilikuwa ni kuhusu […]

Kifafa: Ugonjwa wa ajabu wa Afrika Mashariki

Haki miliki ya picha Provision Charitable Foundation Image caption Watu wenye dalili za kifafa mara nyingi huungua na kupta majeraha mengine kutokana na kuanguka wanapopika ama kuangukia vitu vingine vya kuumiza Kabila hili huishi kwenye maeneo ya nyanda za juu ya Mahenge nchini Tanzania: Eneo hilo limezingirwa na milima, kat kati ya misitu. Wameweza kuishi […]

Mkutano wa Trump, Kim wamalizika bila ya kufikia makubaliano

Lakini shughuli zote mbili hizo zilifutwa kwa haraka kabla ya kipindi cha mchana kuingia, Alhamisi, na kufanya mkutano huo wa pili wa viongozi hao wa nchi mbili kumalizika kabla ya wakati wake. “Siku zote lazima uwe tayari kutoka nje ya mkutano,” alisema Trump, akiongeza kuwa “Ningeweze kusaini kitu fulani leo” na kuthibitisha, “tulikuwa na makaratasi […]

Gazeti The Citizen Tanzania lafungiwa kwa siku saba

Haki miliki ya picha Millard Ayo Image caption The Citizen Tanzania lafungiwa kwa siku saba Maoni mbalimbali yametolewa kutokana na hatua ya kusimamishwa kwa leseni ya uchapishaji na usambazaji wa gazeti la The Citizen kwa siku saba. Serikali ya Tanzania imelifungia gazeti la hilo kwa madai ya kuchapisha taarifa ya upotoshaji kuhusu maoni ya watalaam […]

Ruto akanusha madai ya upotevu wa Sh 21 bilioni za mradi wa mabwawa

Akiongea wakati wa uzinduzi wa ripoti ya hali ya Mahakama mjini Nairobi Alhamisi, Dr Ruto amesema matumizi ya shilingi 7 bilioni tu ndio yanayo dadisiwa. “Huenda ukawa umesikia kuwa serikali imepoteza kiasi cha Shilingi 21 bilioni huko Kimwarer na Arror ya mradi wa bwawa la maji, ambao ni uongo mtupu!” amesema akiwa Mahakama ya Juu. […]

Mwanamuziki Dudu baya ashikiliwa na Polisi Dar es Salaam

Haki miliki ya picha Godfrey Tumaini Image caption Mwanamuziki wa Bongo flavour Godfrey Tumaini Mwanamuziki wa Bongo Fleva Godfrey Tumaini maarufu Dudu baya anashikiliwa na Polisi jijini Dar es Salaam kwa ajili ya mahojiano. Dudu baya alikamatwa siku ya Jumatano akishutumiwa kutoa maneno ya kashfa dhidi ya aliyekuwa Mkurugenzi wa vipindi na uzalishaji wa Clouds […]

Ushahidi wa Michael Cohen fedheha kwa Donald Turmp

Ushahidi wa Cohen wa hapo jana Jumatano aliuoutoa bungeni ulikuwa ni fedheha kubwa kwa rais Donald Trump. Kwenye ushahidi huo Bwana Cohen pia alimtaja Trump kuwa ni mtu muongo na mbaguzi. Mwanasheria huyo aliyekuwa wakati mmoja msimamizi wa mipango ya Trump alielezea matukio ambayo Trump aliongopa, ikiwa ni pamoja na malipo ya pesa kwa vimada. Cohen […]

Afrika yaanzisha kampeni ya kukomesha silaha kufikia 2020

Azimio lililopitishwa na baraza hilo linaelezea uungwaji mkono wa juhudi zinazolenga kutafutia ufumbuzi wa kiafrika kwa matatizo ya kiafrika wakati ikitambua kuwa nchi nyingine zinaweza kutia chachu maendeleo hayo. Baraza lilitambua juhudi za Umoja wa Afrika na jumuiya za kikanda za kuwa na bara lisilo na mizozo, lakini pia likielezea “wasiwasi juu ya changamoto za […]