Uchaguzi wafanyika Mashariki mwa DRC

Zoezi hilo liliendelea katika miji ya Butembo na Beni, ambako ongezeko la visa vipya vya Ebola imeendelea kuripotiwa, huku kukiendelea kuwa na shutuma mbalimbali kuhusu sababu halisi ya wakazi wa maeneo hayo kutoshiriki kwenye uchaguzi mkuu wa Januari. Shirika la habari la Associated Press (AP) linaripoti kuwa wapiga kura walionekana wakiosha mikono yao kabla ya […]

Mark Zuckerberg amezitaka serikali kusaidia kuweka sheria wa udhibiti wa taarifa za intaneti

Haki miliki ya picha AFP Image caption Mark Zuckerberg anataka sheria za pamoja ziwekwe ambazo zitafuatwa na makampuni yote ya teknolojia Mark Zuckerberg ameandika barua ya wazi akitoa wito sheria ziwekwe ili kufuatilia taarifa za intaneti. Kwatika waraka wake wazi uliochapishwa na gazeti la Washinton Post Mkurugenzi mkuu wa Facebook anasema kuwa jukumu la ufuatiliaji […]

Tanzania : Mamlaka ya Hali ya Hewa yatahadharisha mafuriko, yashauri maandalizi ya huduma za dharura

TMA imeshauri Menejimenti ya Maafa na watoa huduma za dharura pamoja na wadau wengine kuchukua hatua za kuweka mipango stahiki kukabiliana na athari zinazoweza kujitokeza. Mvua hiyo inatarajiwa kunyesha katika mikoa ya Rukwa, Mbeya, Iringa, Njombe, Songwe, Ruvuma, Lindi, Mtwara, Morogoro, Dar es Salaam, Tanga, Pwani na Zanzibar. Kwa mujibu wa gazeti la Nipashe la […]

EAC : Rwanda, Uganda watafikia suluhu kabla ya mkutano wa Agosti

Lakini vyanzo vya habari katika Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) vinasema kuwa mvutano huu kati ya Rais wa Rwanda Paul Kagame na Rais wa Uganda Yoweri Museveni unaonyesha kuwa kuna matumaini ya kufikia suluhu. “…Kuna juhudi za ngazi ya juu kutafuta suluhu ya mgogoro huu. Rais wa Tanzania na Kenya na viongozi wengine katika eneo […]

Tetesi za soka Ulaya Jumapili 31.03.2019: Eriksen, Pogba, De Gea, Chilwell, Skriniar, Tielemans

Haki miliki ya picha Getty Images Mwenyekiti wa Tottenham Daniel Levy angetaka £130m kutoka Real Madrid kwa ajili ya mchezaji wa safu ya kati wa Denmark Christian Eriksen, mwenye umri wa miaka 27. (Sunday Mirror) Wakala wa mchezaji wa kiungo cha kati wa Manchester United Paul Pogba , Mino Raiola, amezungumzo mara mbili kwa simu […]

Mkutano wa kilele wa jumuia ya nchi za kiarabu mjini Tunis

Viongozi wa mataifa matatu ya kiarabu, Algeria, Sudan na Moroko wameamua kutoshiriki katika mkutano huo wa kilele wa siku moja unaotarajiwa kupinga uamuzi wa Rais Trump na kuutaja kuwa “batili”. Hayo ni kwa mujibu wa rasimu ya taarifa ya mwisho ya mkutano huo wa kilele.” Kwa mujibu wa sheria za kimataifa na maazimio ya Baraza […]

Mkutano wa kilele wa jumuia ya nchi za akiarabu mjini Tunis

Viongozi wa mataifa matatu ya kiarabu, Algeria, Sudan na Moroko wameamua kutoshiriki katika mkutano huo wa kilele wa siku moja unaotarajiwa kupinga uamuzi wa Rais Trump na kuutaja kuwa “batili”. Hayo ni kwa mujibu wa rasimu ya taarifa ya mwisho ya mkutano huo wa kilele.” Kwa mujibu wa sheria za kimataifa na maazimio ya Baraza […]

Mjue ''Simba Mama'' Mwanamke aliyepambana na wabakaji wa binti yake

Nokubonga Qampi amekuwa akifahamika kama “Simba Mama ” nchini Afrika sukini baada ya kumuua mmoja wa wanaume watatu waliombaka binti yake na kuwajeruhi watu wengine. Alishtakiwa kwa mauaji – lakini baada ya malalamiko ya umma mashtaka yalifutwa, na akaweza kuweka juhudi zai katika kuhakikisha mwanae anapona majeraha. Ilikuwa ni usiku wa manane wakati siku ilipomuamsha […]

Paul Pogba: Meneja wa Real Madrid Zinedine Zidane anampenda mshambuliaji wa Man Utd 'sana'

Haki miliki ya picha Reuters Image caption Paul Pogba has scored nine goals since Ole Gunnar Solskjaer replaced Jose Mourinho as manager in December Meneja wa Real Madrid Zinedine Zidane anasema mchezaji wa Manchester United Paul Pogba, ambaye amekuwa akisemekana kuhamia Bernabeu, “anajua kufanya kila kitu uwanjani “. Pogba, mwenye umri wa miaka 26, amekuwa […]

Utafiti:Mbwa wanaweza kubaini dalili za kifafa kwa kunusa kwa kutumia pua yake

Haki miliki ya picha Getty Images Image caption Utafiti huu ni msaada mkubwa kwa wagonjwa wa kifafa, katika kubaini mapema kabla ya athari kujitokeza Wanasayansi wa Ufaransa wanasema wana ushahidi kuwa Mbwa anaweza kuhisi dalili za ugonjwa wa kifafa. Timu ya Chuo Kikuu cha Rennes kina matumaini kuwa uvumbuzi wao utawezesha wataalamu kubaini mtu mwenye […]