Champions League: Ajax yawika dhidi ya Tottenham ugenini

Haki miliki ya picha Getty Images Tottenham italazimika kubadili matokeo yake dhidi ya Ajax ili kuweza kutinga nusu fainali ya kombe la vilabu bingwa Ulaya baada ya kupoteza nyumbani katika awamu ya kwanza ya nusu fainali. Klabu hiyo ya Uholanzi ilijipatia goli la ugenini wakati Donny van de Beek alipochukua pasi ya Hakim Ziyech na […]

Algeria: Jeshi latangaza vita dhidi ya ufisadi serikalini

Baadhi ya maafisa waandamizi serikalini, ikiwa ni pamoja na waziri wa fedha, aliyekuwa waziri mkuu, na matajiri wenye ushawishi mkubwa wa kisiasa, wamekuwa wakifanyiwa uchunguzi tangu aliyekuwa rais wa muda mrefu wa nchi hiyo, Abdelaziz Bouteflika, kulazimishwa kujiuzulu tarehe mbili mwezi Aprili. Shirika la habari la Reuters limeripoti kwamba mkuu wa jeshi Luteni Jenerali Ahmed […]

Kwanini India inachukulia tendo la ngono kwa ahadi ya kuoa sawa na ubakaji?

Haki miliki ya picha Getty Images Ikiwa mwanaume atashindwa kutimiza ahadi ya kumuoa mwanamke , ngono baina ya wapenzi wawili walioelewana inaweza kuchukuliwa kama ubakaji? Mahakama ya ngazi ya juu zaidi nchini India imetoa jibu la swali hilo na kusema kuwa ni “ndio”. Katika uamuzi muhimu, mahakama imepitisha uamuzi wa mahakama ya awali na kumtia […]

Mgogoro wa kiisiasa wazidi makali Venezuela

“Nnataka kuwaambia wananchi wa Venezuela; Wakati ndio huu umewadia wa kuteremka majiani na kufuatana na wanajeshii hawa mashujaa”amesema hayo Leopoldo Lopez aliyekuwa akishikiliwa jela tangu mwaka 2014 kwa kuongoza maandamano dhidi ya serikali.”Kila mtu anabidi ateremke majiani kwa amani” amesisitiza. Lopez amesema ametolewa katika kifungo cha nyumbani na vikosi vya usalama vilivyoitika amri ya Guaido […]

Yajue maeneo ambayo ni marufuku kufunika uso

Haki miliki ya picha Getty Images Marufuku ya mavazi yanayofunika uso hadharani imekuja mara baada ya mashambulio ya kujitoa muhanga kutokea Sri lanka katika sikukuu ya Pasaka yaliosababisha vifo vya watu 250 na mamia wengine kujeruhiwa. Vazi lolote ambalo linamficha mtu asijulikane ni nani, limekatazwa kwa mujibu wa sheria ya dharura iliyopitishwa ili kuhakikisha usalama […]

Hisia saba ambazo hazipo tena au zilizobadilika

Haki miliki ya picha Getty Images Image caption Hisia – zinatofautina na zinabadilika kutoka kwa mtu moja hadi mwingine Mara nyingi watu hufikiria hisia za binadamu ni moja kote duniani na kwamba zinafanana. Lakini ukweli ni kwamba hisia zinatofautina na zinabadilika kutoka sehemu moja hadi nyingine. Pia imebainika kuwa hisia mpya zinagunduliwa kadiri muda unavyosonga, […]

Msumbiji: Maisha ya wengi yako hatarini kutokana na maafa ya kimbunga

Haki miliki ya picha AFP Msumbiji inahitaji misaada ya haraka kuokoa maisha ya walioathirika na kimbunga Kenneth, shirika la msaada limesema. Huku shirika la ‘Save the Children’ limesema hali waliokuwa nayo watu wa Msumbiji inatishia usalama wa maisha yao hivyo ni muhimu misaada zaidi itolewe. Umoja wa mataifa umetoa kiasi cha fedha cha dola milioni […]

Hasara yaongezeka kwa kampuni ya ndege ya Kenya Airways

Haki miliki ya picha KQ Image caption KQ inasema kuwa hasara imetokana na ongezeko kubwa bei ya mafuta, mishahara ya juu, na viwango vya juu vya gharama za usafiri wa ndege Shirika la taifa la safari za ndege nchini Kenya Kenya Airways(KQ) limetangaza kupata hasara ya kifedha mwaka uliopita kwa takriban $75m. Hasara hiyo ambayo […]

Mfalme Akihito wa Japan ang'atuka madarakani

Mfalme Akihito wa Japan alifanya maombi mbele ya Mungu wa Jua “Shintoā€¯ siku ya Jumanne (Aprili 30), huo ukiwa ni mwanzo wa hatua za kumalizika kwa utawala wake wa miaka 30. Mfalme huyo mwenye umri wa miaka 85 alivaa vazi la kijadi alipokwenda Hekalu la Kashikodokoro kuielezea miungu kuhusu kustaafu kwake. Akihito ndiye wa kwanza […]