Month: May 2019
UN yawaondoa wakimbizi 149 wa Kiafrika waliokuwa hatarini Libya
UNHCR iliwafikisha wale wote waliondolewa Libya katika eneo karibu na Rome, taarifa imeeleza. Watu hao ambao ni wahamiaji kutoka Eritrea,…
Viongozi watoa wito kuvaa kibandiko cha Kippa cha Wayahudi
Baraza la Wayahudi nchini Ujerumani linakosoa kwamba hayo ni maandamano ya propaganda ya Waislamu dhidi ya Israel kwa kile wanachokiita…
Marekani haipingi mfumo wa biashara wa Ulaya kuisaidia Iran
Iwapo tu lengo ni kutoa huduma ya kiutu na bidhaa nyingine zilizoruhusiwa hilo halina taabu. Pompeo ameyasema hayo mbele ya…
Wanajeshi Sudan wasema maandamano yamegeuka kitisho
Onyo hilo kwa waandamanaji limetolewa na mkuu wa kikosi cha kuingilia kati kuzuia fujo cha RSF, Meja Jenerali Othman Hamed…
Hali ya hewa imezorotesha juhudi za uokoaji katika ajali ya majini Hungary
Pia kumekuwa na taarifa ya kuwa juhudi za kuopoa miili ya wale waliokufa zimekabiliwa na changamoto ya kuona maiti hizo…
Viongozi wa upinzani waitisha maandamano upya Khartoum
Hatua hiyo inafuatia wito wa viongozi wa upinzani kwa waandamanaji washiriki maandamano mengine makubwa kuwashinikiza majenerali wa jeshi kuharakisha mchakato…
Je ni kweli mtu hupata hisia tofauti inapofika siku ya Ijumaa
Image caption Mhariri wa BBC Idhaa ya Kiswahili anasema IJumaa ni siku ambayo hujisikia mwepesi Kumekuwa na hisia za muda…
Mauaji Cameroon: Waliyomuua mwanamke huyu wafichuliwa
Kilichofanyika baada ya BBC Africa Eye kuwafichua waliyomuua mwanamke huyu Source link
Viongozi wa Kiarabu wataak hatua zichukuliwe dhidi ya Iran
“Kutokuwapo kwa msimamo mkali na madhubuti kukabiliana na vitendo hivi vya kigaidi vya utawala wa Iran katika eneo hili kumesababisha …
''Afueni'' kw awahamiaji 150 baada ya kuondoshwa Libya
Haki miliki ya picha UNHCR Karibu wakimbizi na wahamiaji 150 wamesafirishwa kwa ndege kutoka mji mkuu wa Libya Tripoli, kuelekea…