Month: August 2019
Mkutano wa Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika kuanza Jumatatu Zanzibar
<p>Taarifa ya mkutano huo inaeleza mkutano huo ni muhimu kwani utawaweka pamoja Maspika, Naibu Maspika na wabunge zaidi ya 400…
Jinsi mama na mabinti zake kutoka DRC walivyohatarisha maisha yao kufika Marekani
Ilimchukuwa Julia na mabinti zake wawili miaka mitano kusafiri kutoka Kassai, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, mpaka kuwasili katika…
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa awasili Goma
Guterres ameanza ziara yake ya siku tatu katika taifa hilo kubwa kieneo, kwenye mji wa Goma ambao ni mji mkuu…
Maadhimisho ya miaka 80 tangu kuanza Vita Vikuu vya pili
Miaka 80 imetimia tangu kuanza kwa mashambulizi ya jeshi la Ujerumani iliyotawaliwa na Wanazi dhidi ya Poland, ambayo yalikuwa mwanzo…
Jack Dorsey :Akaunti ya mwanzilishi wa Twitter yadukuliwa
Haki miliki ya picha Getty Images Image caption Wadukuzi walianza kutumia akaunti hiyo kusambaza taarifa za chuki na kibaguzi kwa…
Omar al-Bashir akiri kupokea mamilioni kinyume na sheria
Mahakama nchini Sudan imemfungulia rais wa zamani wa nchi hiyo Omar al-Bashir mashtaka rasmi ya rushwa na kupokea fedha kutoka…
Je, uchumi wa Zimbabwe sasa uko kwenye hali mbaya zaidi ya wakati wa utawala wa Mugabe?
Madai: Maisha ya Zimbabwe sasa ni magumu zaidi hata yalivyokuwa wakati wa utawala wa Robert Mugabe, hiyo ni kwa mujibu…
Ipi hatma ya watu milioni 1.9 waliovuliwa urai India?
Haki miliki ya picha Getty Images Image caption Watu milioni 4 walivuliwa uraia katika rasimu ya kwanza ya sajili ya…
Tetesi za Soka Ulaya Jumamosi 31.08.2019: Zaha, Darmian, Pogba, Sancho, Neymar, Eriksen, Ozil
Haki miliki ya picha Getty Images Image caption Mshambuliaji wa Ivory Coast forward,Wilfried Zaha Mwenyekiti wa Crystal Palace Steve Parish…
Theodore Hall: Jasusi wa Marekani aliyevujisha siri ya nyuklia kwa Sovieti
Haki miliki ya picha Los Alamos National Laboratory Handout Image caption Theodore Hall alikuwa mwanasayansi mwenye umri mdogo kufanya kazi…