Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

London: Maalfu kuandamana kupinga kusimamishwa bunge

Maandamano hayo yameitishwa na wapinzani wa Brexit wa kundi linaloitwa “Another Europe is Possible” yaani Ulaya nyingine yawezekana. Malkia Elizabeth…

 Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

Kesi ya Uhujumu Uchumi : IFJ yaitaka Tanzania kumfutia mashtaka yote Kabendera

Kabendera, mwandishi maarufu wa kujitegemea anayefanya kazi na vyombo vya habari ndani ya nchi na vya kimataifa, anashikiliwa rumande akisubiri…

 Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

Johnson awaonya wabunge juu ya kuahirisha mchakato wa Brexit

Waziri Mkuu huyo mpya wa Uingereza Boris Johnson amesema waingereza walishaamua kuondoka katika Umoja wa Ulaya kupitia kura ya maoni…

 Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

Kukabiliana na msongo wa mawazo wakati wa ujauzito

Haki miliki ya picha Getty Images Karibu watu milioni 450 duniani wanakabiliwa na tatizo la msongo wa mawazo, hali inayofanya…

 Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

Madeleine Westerhout: Msaidizi wa White House afutwa baada ya kutoa taarifa za familia ya Trump

Haki miliki ya picha Getty Images Msaidizi binafsi wa rais wa Marekani Donald Trump’amelazimishwa kujiuzulu kutoka White House baada ya…

 Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

Afrika kwa picha wiki : kati ya tarehe 23-29 Agosti 2019

Baaadhi ya picha bora zilizochukuliwa kutoka maeneo mbali mbali ya bara la Afrika na kwingineko , wiki hii: Haki miliki…

 Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

Washirika katika vita vya Yemen wagombana

Wakijibu tuhuma zinazodai kwamba wamewalenga wanajeshi wa serikali, vongozi wa mjini Abu Dhabi wamesema wamefanya hujuma hizo ili kujihami dhidi…

 Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

Wahanga wa Ebola wanazidi kuongezeka Mashariki mwa DR Kongo

Tume ya serikali inayochunguza jinsi jamii inavyowajibika katika kupambana na maradhi ya Ebola imesema idadi ya kadhia zilizothibitika nayo pia…

 Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

Ligi ya mabingwa barani Ulaya kundi F ni la kifo

Mabingwa watetezi Liverpool wana miadi na  SSC Napoli tena. Barcelona , Dortmund  na Inter, wakiwa kwa jumla zimeshinda  mara  tisa…

 Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

Oliver Kahn atachukua nafasi ya Rummenigge Bayern Munich

Mabingwa hao mara nyingi  nchini  Ujerumani wamesema  siku  ya Ijumaa (30.08.2019) kwamba  Kahn  mwenye  umri  wa  miaka 50 , nahodha …