Month: April 2020
Comoros yatangaza kuwepo kwa maambukizo ya virusi vya corona
Nayo Lesotho inabaki kuwa nchi pekee ya Afrika ambayo hakuna mtu yoyote aliyeambukizwa na virus vya Corona hadi hivi sasa….
Matangazo ya Dira ya Dunia TV
Alhamisi 30.04.2020 na Salim Kikeke Source link
Ujerumani yarefusha agizo la watu kutokaribiana
Katika mkutano unaotarajiwa kufanyika 30.04.2020 ili kuangazia vikwazo vilivyowekwa katika kukabiliana na kuenea kwa virusi vya Corona, Helge Braun amesema kuwa…
UN: Hali ya COVID-19 inatia wasiwasi chini Syria
Mratibu wa masuala ya kibinadamu na misaada ya kiutu ya dharura wa umoja wa mataifa (OCHA) ameliambia baraza la usalama…
Dawa ya Remdesivir ya COVID-19 yapandisha masoko ya hisa
Kipimo cha hisa Japan cha Nikkei kilipanda asubuhi kwa asilimia 1.5, wakati Soko la hisa la Wall Street lilipofunga jana…
Virusi vya Corona: Je, kalenda ya Kombe la Dunia 2022 Qatar kuathrika?
Haki miliki ya picha Getty Images Image caption Bado hajafahamika ikiwa virusi vya corona vitaathiri michuano ya kombe la dunia…
Afrika Mashariki bado inakabiliwa na maambukizi ya COVID-19
Hadi Alhamisi ripoti zinaeleza kuwa watu 31 wamefariki DRC, na 65 wamepona. Maambukizi ya corona yamethibitishwa katika jela ya Ndolo…
Shimo kubwa kuwahi kutokea katika tabaka la ozoni la Arctic lajifunga
Haki miliki ya picha CAMS Image caption Shimo la nadra kwenye tabaka la ozoni wa Arctic kabla ya kujifunga Shimo…
Nchi za Ulaya zaanza kufunguwa shughuli za uchumi kwa kuchukuwa tahadhari
Hata hivyo zaidi ya nusu ya mataifa yanayo shuhudhia kupunguka kwa maambukizo na vifo yameanza kufunguwa shughuli za biashara na…
Mcheza filamu mkongwe wa Bollywood Rishi Kapoor aaga Dunia
Nyota huyo wa filamu amefariki akiwa na umri wa miaka 67, alipata umaarufu kwa picha aliyocheza utotoni ya “Mera Naam…