Month: May 2020
Waandamanaji duniani waonyesha hasira, sikitiko kufuatia kifo cha George Floyd
Balozi za Marekani Balozi za Marekani katika nchi kadhaa zilikabiliwa na waandamanaji, walioghadhibishwa na kifo cha George Floyd kilichotokea Mei…
Virusi vya Corona: Serikali ya Tanzania yatangaza utaratibu wa michezo kuanzia kesho, yapi mapya?
Haki miliki ya picha Ikulu Image caption Rais wa Tanzania John Pombe Maguful aliruhusu kuendelezwa kwa michezo mbali mbali nchini…
Virusi vya corona: Makamu wa rais wa Sudan Kusini Wani Igga atangaza kuwa na virusi
Haki miliki ya picha Reuters Image caption Makamu wa rais wa Sudan Kusini Dkt James Wani Iga amesema amebaini kuwa…
Kifo cha George Floyd: Maandamano yafanyika miji tofauti Marekani licha tahadhari ya kutotoka nje kutangazwa.
Huwezi kusikiliza tena Waandamanaji waliingia mitaani kuelezea hasira yao kufuatia kifo cha George Floyd Amri ya kutotoka nje imetangazwa katika…
Maandamano yatikisa miji kadhaa ya Marekani kupinga ukatili
Kifo cha Mmarekani Mweusi George Floyd  katika mji wa Minneapolis wiki iliyopita baada ya kukandamizwa na maafisa wa polisi kimeendelea kuzusha…
Virusi vya corona: Idadi ya maambukizi yapanda zaidi kwa siku Uganda, huku mtu wa kwanza akifariki Rwanda
Haki miliki ya picha Getty Images Idadi ya maambukizi ya Virusi vya corona imeongezeka kwa kiwango cha juu zaidi kuwahi…
Tetesi za soka Jumapili tarehe 31.05.2020: Pogba,Berbatov, Torreira, Sancho,
Haki miliki ya picha Getty Images Image caption Manchester imeridhia kumchukua kiungo wa kati Mfaransa Adrien Rabiot, ili Juventus imchukue…
Virusi vya corona: Uingereza imeruhusu matumizi ya dawa ya kukabiliana na virusi ya remdesivir
Haki miliki ya picha Reuters Image caption Wataalamu wanaonya kuwa dawa ya remdesivir isichukuliwe kwamba ifanya miujiza ya siku moja…
Virusi vya corona: Je mfumo wa maisha ya shule na vyuo utabadilika vipi kutokana na virusi Tanzania?
Image caption Wanafunzi watatakiwa kuvaa barakoa wawapo shuleni Nchini Tanzania, maelfu wa wanafunzi wa vyuo na wale wa sekondari wanaomaliza…
Marekani yatakiwa kutafakari upya uamuzi wake kuhusu WHO
Serikali ya Trump imesema imesimamisha ufadhili huo kutokana na jinsi WHO ilivyolishughulikia janga la virusi vya corona, ambalo limesababisha vifo…