Month: July 2020
Tanzania yazuia safari za Kenya Airways nchini mwake
Tanzania imesimamisha shirika la ndege la Kenya (KQ) kufanya safari za kwenda Tanzania kuanzia August 1, siku moja baada ya…
Matangazo ya Dira ya Dunia TV
Ijumaa 31.07.2020 na Salim Kikeke Source link
Zimbabwe: wanaharakati wakimbilia mafichoni wakitafutwa na polisi kwa kuitisha maandamano
Maandamano hayo ni ya kulalamikia ongezeko la visa vya ufisadi serikalini pamoja na hali ngumu ya maisha. Wakosoaji wa Rais…
Mwanajeshi mlevi aua watu 12 DRC
Maafisa wa usalama wanamtafuta mwanajeshi huyo katika mji wa Sange, kilomita 24 kutoka mpaka wa Burundi ambapo tukio hilo lilitokea…
Waislamu kote duniani wanaadhimisha Eid al adha
Waislamu kote duniani hii leo wameadhimisha sikuukuu ya Eid al adha, ikiambatana na ibaada ya kuchinja wanyama, katika kuhitimisha ibada…
Virusi vya corona: Marufuku kutembeleana nyumbani katika baadhi ya maeneo Uingereza
Dakika 2 zilizopita Chanzo cha picha, Getty Images Mamilioni ya watu kaskazini mwa Uingereza wanakabiliana na sheria mpya ya marufuku…
Bomu lauwa watu 17 Afghanistan
Wamesema mtu aliyejitoa muhanga alikusudia kuulipua msafara wa maafisa wa usalama katika mji mkuu wa mkoa wa Pul-e-Alam. Msemaji wa…
Askari walevi waua watu 12 DRC
Askari waliokuwa wamelewa nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamemimina risasi na kuua watu 12 na wengine kadhaa kujeruhiwa. Source…
Sikukuu ya Eid na Ibada ya Hijja zaadhimishwa kwa kuchukuwa tahadhari dhidi ya COVID-19
Wakati huohuo Mahujaji nchini Saudi Arabia wamemaliza kufanya ibada ya kuzunguka Al-Kaaba mara saba, kufuatia siku ya kwanza ya kumbukumbu…
Virusi vya corona: Je, ni mwaka au karne gani tutapata chanjo ya corona?
Zaidi ya watengenezaji chanjo 150 duniani kote, wanafanya majaribio ambayo yanaonekana kuwa na matokeo chanya mpaka sasa. Source link