Month: September 2020
Matangazo ya Dira ya Dunia TV Jumatano 30/09/2020
Matangazo ya Dira ya Dunia TV Jumatano 30/09/2020 Na Wazir Khamsin Source link
Timothy Ray Brown: Aliyekuwa mtu wa kwanza kutibiwa HIV amefariki
Dakika 4 zilizopita Chanzo cha picha, Getty Images Maelezo ya picha, Timothy Ray Brown, pia alijulikan kwamba mgonjwa wa Berlin…
Nala: Paka msafiri aliyezuru mataifa mengi zaidi duniani
Dakika 7 zilizopita Chanzo cha picha, Instagram/1bike1world Wakati mchezaji wa mchezo wa raga Dean Nicholson alipofungasha virago vyake ili kusafiri…
Rais Hassan Rouhani aelezea wasiwasi kuhusu mzozo wa Nagorno-Karbakh
Iran inashiriki mpaka wa pamoja na Armenia na Azerbaijan ambazo vikosi vyake vimehusika katika mapigano mapya yanayohusu mzozo wa eneo…
Uchaguzi Marekani 2020: Tazama nyakati muhimu za mdahalo kati ya Trump na Biden
Rais wa Marekani Donald Trump na mpinzani wake Joe Biden wamekabiliana vikali katika mdahalo wao wa kwanza kati ya mitatu…
Maoni: Mdahalo kati ya Trump na Biden wageuka mechi ya fujo
Baada ya mdahalo wa kwanza wa televisheni baina ya Rais Donald Trump na mpinzani wake wa chama cha Democratic Joe…
Nawaf al-Ahmed Al Sabah aapishwa kuwa mfalme mpya wa Kuwait
Baraza la mawaziri la Kuwait lilimteua Nawafa mwenye umri wa miaka 83 kama mfalme mpya muda mfupi baada ya Sabah…
Félicien Kabuga: Mahakama ya Ufaransa yaamuru mshukiwa wa mauaji ya kimbari nchini Rwanda ashtakiwe Tanzania
Dakika 5 zilizopita Chanzo cha picha, EPA Maelezo ya picha, Félicien Kabuga, wakati mmoja alikuwahi kuwa mtu tajiri zaii nchini…
Umoja wa Mataifa kufanya mkutano wa kwanza kuhusu mzozo wa Bioanuwai
Katika mkutano huo mkubwa utakaofanyika kwa njia ya mtandao, zaidi ya viongozi 100 wa mataifa na serikali wanatarajiwa kuimarisha malengo…
'Mchungaji alikuwa na wasiwasi kwamba akitufungisha ndoa atapata dhambi'
Nchini Tanzania, jitihada mbalimbali zimekuwa zikifanyika kwa upande wa serikali na hata mashirika yasiyo ya kiserikali ili kukabiliana na unyanyapaa…