Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

Matokeo ya uchaguzi Tanzania: Upinzani wataka uchaguzi mkuu kurudiwa, waitisha maandamano ya amani

Vyama vya vikuu vya upinzani nchini Tanzania vimetangaza kupinga matokeo ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 28. Source link

 Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

Kuponea kifo wiki moja Afghanistan

Dakika 11 zilizopita Chanzo cha picha, Maroof Saeedi Maelezo ya picha, Razia aliponea kifo baada ya bomu la kutegwa garini…

 Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

UN yapendekeza mpango wa kuondoa vikosi vyake DRC

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amependekeza mpango, ambao utatumika kuwaondoa hatua kwa hatua wanajeshi wa kulinda amani…

 Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

Tume ya Uchaguzi Tanzania: Magufuli ndiye mshindi wa urais

Kulingana na mwenyekiti wa tume hiyo Semistocles Koijage rais huyo ambaye atahudumu kwa kipindi chengine cha miaka mitano, amejizolea kura…

 Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

Bunge jipya halitakuwa na sautierendem ya upinzani

Watanzania wamekwenda kwenye sanduku la kura Oktoba 28, 2020 na kuchagua viongozi wao, rais Jamhuri ya Muungano, wabunge pamoja na…

 Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

Matokeo ya Uchaguzi Tanzania 2020:Hivi ndivyo John Magufuli alivyotangazwa mshindi

Mwenyekiti wa Tume ya taifa ya uchaguzi, Semistocles Kaijage akitangaza matokeo ya uchaguzi mkuu wa urais Tanzania. Source link

 Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

Magufuli apata awamu ya pili katika uongozi wa Tanzania

Rais John Pombe Magufuli ametangazwa rasmi kama mshindi wa uchaguzi mkuu wa Tanzania kwa kupata asilimia 84 ya kura ambayo…

 Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

Matangazo ya Dira ya Dunia TV Ijumaa 30/10/2020

Matangazo ya Dira ya Dunia TV Ijumaa 30/10/2020 na Zuhura Yunus Source link

 Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

John Magufuli atangazwa mshindi wa urais

Dakika 11 zilizopita Magufuli ameshinda kwa kupata kura 12,516,252 ya kura zote zilizopigwa. Tundu Lissu kutoka chama cha upinzani cha…

 Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

Maambukizi mapya ya Covid-19 yavunja rekodi Ulaya na Marekani

Kwa mara ya kwanza tangu janga la virusi vya corona kuripotiwa nchini Marekani, nchi hiyo imeorodhesha zaidi ya watu 90,000…