Month: November 2020
1Matangazo ya Dira ya Dunia TV Jumatatu 30/11/2020
Matangazo ya Dira ya Dunia TV Jumatatu 30/11/2020 na Wazir Khamsin Source link
Uingereza haitabadilisha msimamo kuhusu Brexit
Masuala muhimu yaliyosalia bila ufumbuzi ni pamoja na haki za uvuvi, misaada ya serikali kwa makampuni ya biashara na sheria…
Spika wa bunge Tanzania asema wabunge wa viti maalum ni halali
Spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Yustin Ndugai, ametoa tahadhari kwa mtu yoyote atakayelidhalilisha bunge hilo…
Barua kutoka Dar: AU yashindwa kumaliza vita
Wajasiriamali wanajitahidi kufanya maendeleo katika uzalishaji, kuingiza bidhaa sokoni kwa viwango vinavotakiwa na kwa usajili kulingana na kanuni zilizopo, lakini…
Kenya na Somalia zashikana mashati kuhusu jimbo la Jubbaland
Dakika 2 zilizopita Chanzo cha picha, ANADOLU AGENCY Kenya imesema kwamba haijapokea ilani yoyote inayoitaka kumrudisha nyumbani balozi wake nchini…
Manchester United kidedea, Arsenal wacharazwa
Arsenal walikuwa nyumbani Emirates wakiwaalika Wolverhampton Wanderers na wakabebeshwa magoli mawili kwa moja katika mechi ambayo mshambuliaji wa Wolves…
Bouba Diop afariki dunia
Atakumbukwa sana kwa goli alilolifunga Senegal walipokuwa wakikwaana na mabingwa wa dunia wakati huo Ufaransa katika mechi ya kwanza ya…
Spika Ndugai: Wabunge wa Chadema tunawatambua kuwa wabunge kamili
Dakika 2 zilizopita Chanzo cha picha, Bunge Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amewaapisha wabunge wateule Bw. Humphrey Polepole…
Iran yafanya mazishi ya muasisi wa programu ya nyuklia
Jeshi maalumu la heshima, leo lilibeba jeneza la mwili wa mwanasayansi Mohsen Fakhrizadeh aliyeripotiwa kuuawa kwa mbinu ya kijeshi ya…
Mohsen Fakhrizadeh: Je nini chanzo cha mauaji ya mwanasayansi huyu wa Iran?
Dakika 8 zilizopita Chanzo cha picha, Reuters Alikuwa hana umaarufu nchini Iran hadi Ijumaa iliopita wakati alipouawa. Mwanasayansi huyu Mohsen…