Month: December 2020
Kwaheri 2020, Karibu 2021
Baada ya mwaka wa aina ya kipekee ambao kwa wengine ni mwaka wa ajabu, hatimaye watu katika sehemu mbali mbali…
Uingereza yakamilisha kabisa mchakato wa kuondoka umoja wa ulaya
Mkataba wa baada ya Uingereza kuondoka umoja wa ulaya unaanza kutumika leo alhamisi, baada ya kusainiwa na kuwa sheria. Bunge…
China yaidhinisha matumizi ya chanjo yenye ufanisi wa asilimia 79.3
Wasimamizi wa sekta ya afya nchini China wamesema kwamba wameidhinisha chanjo dhidi ya virusi vya Corona ambayo imetengenezwa na kampuni…
Papa Francis kukosa misa ya mkesha wa mwaka mpya 2021
Kiongozi wa kanisa katoliki Papa Francis hataongoza misa ya kusherehekea mwaka mpya kwa sababu za kiafya. Vatican imesema kwamba Papa…
Mapigano yanaendelea Yemen
Muungano wa wanajeshi unaoongozwa na Saudi Arabia na umoja wa falme za kiarabu, wanaopigana na waasi wa kihuthi wanaripotiwa kutekeleza…
Walinda usalama wa umoja wa mataifa na umoja wa Afrika wameanza kuondoka Dafur
Muungano wa walinda usalama katika eneo la Dafur nchini Sudan, kutoka umoja wa Afrika na umoja wa mataifa – UNAMID,…
Makala Maalum : Matukio Muhimu yaliojiri Mwaka 2020 Marekani
Huu ulikuwa pia mwaka wa ufanisi kwa makampuni ya teknohama. Huu ni mwaka pia ambapo uchaguzi wa rais ulizusha utata…
Ujumbe wa kulinda amani Darfur wamalizika rasmi
Ujumbe huo wa kijeshi ulipelekwa mwaka 2003, baada ya mapigano makali kuibuka baina ya waasi kutoka makabila ya watu weusi…
Fahamu kwanini mwaka haumaliziki usiku wa manane wa Desemba 31?
Dakika 2 zilizopita Chanzo cha picha, Getty Images Vifijo na nderemo na sherehe zisizo na kifani ni baadhi ya utamaduni…
Timu nzima ya kampeni na walinzi wa Bobi Wine wazuiliwa na polisi
Mgombea urais nchini Uganda Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine, amesema kwamba ataendelea kufanya kampeni, siku moja baada ya polisi…