Month: January 2021
Jegal Sam ana ndoto ya kupiga kinanda mpaka atakapofika miaka 100
Jegal Sam amekuwa akipiga kinanda kwa miaka 82 na bado ni mahiri Source link
Wine aitisha maandamano ya amani Uganda kupinga matokeo ya uchaguzi
Akizungumza kupitia ukurasa wake wa Youtube kutoka nyumbani kwake anakozuiliwa na wanajeshi wa Uganda UPDF, Bobi Wine ametaka wafuasi wake…
Kundi la ISIS ladai kuhusika na shambulizi la Baghdad
Kundi la kigaidi la ISIS, limedai kuhusika katika mashambulizi mawili ya mabomu ya kujitoa mhanga, katikati mwa Baghdad jana alhamisi….
Afrika itasubiri muda mrefu kupata chanjo ya virusi vya corona
Na Anne Soy Mwandishi Mwandamizi BBC Africa Dakika 1 iliyopita Chanzo cha picha, Reuters Afrika italazimika kusubiri “wiki ikiwa sio…
Serikali ya Rwanda yatoa msaada wa chakula kwa watu kutokana na Corona
Mamlaka nchini Rwanda wameanza kutoa chakula kwa wakaazi katika mji mkuu wa Kigali baada ya shughuli za kawaida kufungwa mjini…
Aina mpya ya Corona yagunduliwa Kenya, Botswana, Zambia na Gambia
Aina mpya ya virusi vya Corona vinavyosambaa kwa kasi sana kuliko aina ya kwanza, imegunduliwa katika nchini za Botswana, Zambia,…
Waasi wazingira mji mkuu wa Bangui Jamhuri ya Afrika ya kati. Mapigano yaongezeka
Jamhuri ya Afrika ya kati imetangaza hali ya dharura, wakati wanajeshi wa serikali na umoja wa mataifa wakipigana kujaribu kuwafukuza…
Uingereza yapiga marufuku wasafiri kutoka Tanzania na DRC kutokana na Corona
Uingereza imepiga marufuku wasafiri kutoka Tanzania na Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo kuingia nchini humo kuanzia leo ijumaa, ikiwa ni…
Afrika katika magazeti ya Ujerumani
die tageszeitung Na tunaanza moja kwa moja na makala ya gazeti la die tageszeitung juu ya hali ya nchini Uganda…
Umoja wa Mataifa wafadhaishwa na taarifa za vitendo vya ubakaji katika jimo la Tigray
Mwakilishi maalum wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia maswala yanayohusu tuhuma za unyanyasaji wa kijinsia, Pramila Patten amesema kuna taarifa kwamba…