AFCON2019: Panga kikosi chako bora na ushirikishe na wenzako


Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2019 inaendelea kutimua vumbi nchini Misri.

BBC inakupa nafasi wewe msomaji kuchagua kikosi unachoona ni kikali, na mfumo utakaoupenda, kutokana na orodha ya wachezaji mahiri wanaoendelea kupambana nchini Misri.

Usisahau kushirikisha wenzako ukishakipanga kikosi.

Samahani, kisakuzi chako hakiwezi kufungua ukurasa huuSource link

Author: mas

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *