
Yahya Polani alipoteza famila yake ya watu watano katika ajali ya ndege iliyotokea Karachi. Mpwa wake, Zain Polani alikuwa anapeleka familia yake yote mjini Karachi kusherehekea sikukuu ya Eid pale ndege hiyo ilipoanguka mita chache kutoka barabara ya ndege.