Amnesty International kulaani uamuzi wa Tanzania kuzuia wananchi na mashirika kuishtaki


Shirika la kimataifa la Amnesty International kulaani uamuzi wa Tanzania kuondoa sheria inayoruhusu raia na mashirika yasiyo ya kiserikali kuishtaki katika mahakama kuu ya haki za kibanadamu.

Amnesty imesema kujitoa huko kunawanyima watu na mashirika mbalimbali uwezo wa kupata haki zao za kisheria.Source link

Author: mas

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *