Atletico Madrid wazidi kutamba La Liga


Mshambuliaji wa zamani wa Barcelona Luis Suarez alionyesha makali yake kwa kuwa miongoni mwa waliocheka na wavu.

Real Madrid walipata ushindi wa 4-1 dhidi ya Alaves nao Barcelona waliomkosa Lionel Messi ambaye ana marufuku, wakapata ushindi wa 2-0 walipokuwa wakicheza na Eibar.

Kwa sasa Atletico wako uongozini na pointi 47 Real Madrid nao pointi walizo nazo ni 40 kisha Barcelona ni wa tatu na pointi 37 huku Sevilla wakikamilisha nne bora na pointi 36.Source link

Author: mas

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *