Author: mas
Matangazo ya Dira ya Dunia TV Jumatatu 18/01/2021
Matangazo ya Dira ya Dunia TV Jumatatu 18/01/2021 na Zuhura Yunus Source link
Kufungwa kwa Jengo la bunge Marekani: Tahadhari ya moto yasababisha jengo la Capitol kufungwa kwa muda
Jengo la bunge la Capitol mjini Washington DC lilifungwa kwa muda kufuatia tahadhari ya usalama siku mbili kabla ya rais…
Tunisia: Maandamano makubwa yafanyika kupinga ugumu wa maisha
Maandamano hayo, yaliyosababisha mapambano kati ya raia na na polisi, yanaendelea wakati Tunisia inaadhimisha miaka 10 ya tangu kufanyika harakati zilizoleta mapinduzi katika demokrasia…
Homa ya nguruwe: Uchunguzi wafanyika Tanzania
Tayari Serikali ya Wilaya ya kahama imepiga marufuku biashara na ulaji wa nguruwe katika eneo hilo ikilenga kutafuta kiini cha…
Uganda yarejesha mawasiliano ya inteneti yaliokatwa kabla ya uchaguzi
Kasi ya mawasiliano hayo ingali ya chini na wakati mwingine mawasiliano hayo yanakatikakatika.Hatua hiyo imekuja baada ya polisi kutangaza kwamba…
FBI yachunguza usalama wa Wanajeshi 25,000 wanaoimarisha ulinzi Washington
Wanajeshi hao wamepelekwa kuulinda mji wa Washington katika hafla ya kuapishwa Biden wakati ukiwepo wasiwasi wa kuwepo shambulio la ndani…
Jill Biden: Kutoka ualimu mpaka mama wa taifa la Marekani Mke wa Rais mteule Biden ni mtu wa namna gani?
Mke wa Rais mteule Biden ni mtu wa namna gani? Source link
Mesut Ozil: Kiungo wa kati wa Arsenal kujiunga na Samatta klabu ya Fenerbahce
Dakika 9 zilizopita Chanzo cha picha, Getty Images Kiungo wa kati wa Arsenal Mesut Ozil anatarajiwa kujiunga na klabu ya…
Somalia: 'Bado tunawahitaji Wamarekani kwenye masuala ya usalama'
Dakika 8 zilizopita Chanzo cha picha, AFP Mvutano unazidi kuongezeka nchini Somalia, wakati mfumo wa kisiasa wa nchi hiyo unapambana…
Nchi za Magharibi zatoa miito ya kuachiwa Alexei Navalny bila ya masharti
Kiongozi huyo wa upinzani alikamatwa hapo jana Jumapili mara tu alipowasili katika uwanja wa ndege wa Sheremetyevo mjini Moscow akitokea…