Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

Mkutano mkuu wa SPD wafunguliwa Berlin

SPD kinaelekea wapi? Chama hicho kikongwe zaidi cha kisiasa nchini Ujerumani kinayumba yumba.Tangu mwaka 1998, pale wana Social Democrat walipojipatia…

 Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

Burundi: Ushuru wa uchaguzi wafungua njia ya dhulma zaidi.

Dhulma zinazohusiana na ushuru wa uchaguzi wa mwaka 2020 nchini Burundi, zinaonyesha kampeini ya chama kinachotawala (CNDD-FDD) huku kundi la…

 Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

Jengo la ghorofa sita laporomoka Kenya

Jengo la ghorofa sita laporomoka katika eneo la Embakasi nchini Kenya Source link

 Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

Hong Kong: Maandamano yalivyowaathiri vijana kiakili

Watafiti wanaonya kuwa huenda maandamano yanayofanyika Hong Kong yanawaathiri vijana kiakili na huenda yakawa na athari pia kwa vijana wengine….

 Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

Si Trump peke yake yuko hatarini katika uchaguzi ujao hata wapinzani wake pia wako mkondo mmoja

Haki miliki ya picha Reuters Image caption Chama cha upinzani Marekani,Democrats kimesema kuwa utawala wa Trump umefikia ukingoni Ukiachilia mbali…

 Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

Kituo cha Faraja: Waliokatiza masomo kutokana na ujauzito wahitimu Tanzania

Wasichana 23 waliokatiza masomo yao kutokana na mimba za utotoni hatimaye wamehitimu mafunzo mbalimbali ya ujasiriamali huko Mkoani Arusha, Nchini…

 Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

Tetesi za Soka Ulaya Ijumaa 06.12.2019: Rodgers, Pochettino, Allegri, Eriksen, Sancho, Zaha, Haaland

Haki miliki ya picha Getty Images Image caption Kocha wa Leicester Brendan Rodgers Leicester imeanza mazungumzo na kocha Brendan Rodgers…

 Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

Je, waliokatiza masomo kutokana na ujauzito ujasiriamali ndio suluhu?

Image caption Hawa ni baadhi ya wasichana waliopata mimba za utotoni na watoto wao siku ya mahafali Wasichana 23 waliokatiza…

 Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

Joshua v Ruiz II: Ndani ya saa 24 ambazo ziliushangaza ulimwengu wa ndondi

Haki miliki ya picha Getty Images Image caption Unaweza kufuatilizia pigano la siku ya Jumamosi katkika BBC Radio 5 Ruiz…

 Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

Iran 'inatengeneza silaha zenye uwezo wa kinyuklia' mataifa ya Ulaya yaonya

Haki miliki ya picha AFP Image caption Wanajeshi wa Iran wamefanya maonyesho ya silaha Shahab 3 mjini Tehran wakati wa…