Baba Samatta: Uingereza ndio kila kitu kwenye kandanda


Baba wa nahodha wa Tanzania Mbwana Samata anajivunia mafanikio ya mtoto wake katika ulimwengu wa kandanda.

Mzee Ally Pazi Samatta ameielza BBC kuwa imekuwa ni ndoto yao yeye na Mbwana siku moja kuona mshambuliaji huyo akitua Uingereza na kusakata kambumbu.

Ndoto hiyo inakaribia kukamilika wakati huu ambapo Aston Villa inatumai kukamilisha makubaliano ya dau la £10m kumsajili mshambuliaji huyo wa klabu ya Genk ya Ubelgiji.Source link

Author: mas

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *