Baraka Shenouda fundi sherehani anayeshona kwa miguu


Baraka Shenouda alizaliwa bila mikono miaka 30 iliyopita nchini Misri.

Lakini anasema hilo halijamzuia kuisha maisha ya kawaida kama watu wengine walio na mikono.

Sheria mpya iliyoidhinishwa hivi karibuni nchini Misri inatarajiwa kutoa nafasi nyingi za kazi kwa watu walemavu.

Baraka anajifunza kusoma na kuandika ili siku moja apate ajira na kushi maisha mazuri zaidi.Source link

Author: mas

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *