Beijing ina mabilionea wengi zaidi kuliko miji mingine duniani


Beijing skyline

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha,

Beijing iliongeza mabilionea 33 mwaka jana, kulingana na Forbes

Beijing sasa ni makao ya mabilionea wengi zaidi kuliko miji mingine yoyote duniani, kwa mujibu wa wa orodha ya hivi punde ya Forbe ya watu tajiri.

Mji huo mkuu wa China uliongeza mabilionea 33 mwaka uliopita sasa una mabilionea 100, lilisema gazeti hilo la biashara.

Uliushi kwa karibu mji wa New York, ulio na mabilionea 99 na ambao umekuwa ukiongoza orodhaa hiyo kwa miaka saba mtawalio.

Juhudi za haraka za China kudhibiti ugonjwa wa Covid-19, kupanda ngazi kwa mashirika yake ya kiteknolojia na masoko ya hisa kuliisaidia kupata nafasi hiyo ya kwanza.Source link

Author: mas

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *