Bernard Membe afukuzwa uanachama CCM


HABARI ZA HIVI PUNDE

Chama tawala nchini Tanzania CCM kimemfukuza uanachama aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo, Bernard Membe.

Membe alikuwa akikabiliwa na tuhuma za maadili pamoja na viongozi wengine waandamizi wengine wawili makatibu wakuu wa zamani Yusuf Makamba na Abdulrahman Kinana, ambao wao hawajafukuzwa.

Makamba amesamehewa, huku Kinana akionywa.

Tarifa zaidi kukujiaSource link

Author: mas

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *