Sudan waitisha maandamano makubwa zaidi

Viongozi wa maandamano ya Sudan walifanikiwa kufikia makubaliano na baraza la kijeshi la kuhusu masuala kadhaa ya kipindi hicho cha mpito. Lakini mapema Jumanne, majenerali waliomuondoa madarakani kiongozi wa muda mrefu Omar al-Bashir mwezi uliopita wamepinga madai ya waandamanaji, ya kutaka kiongozi wa nchi awe wa kiraia na idadi kubwa ya raia wa kawaida kuwamo […]

Wanawake wa Korea Kaskazini wageuzwa watumwa wa ngono China

Wataalamu wamesema kuwa maelfu ya wanawake na wasichana kutoka Korea Kaskazini, wanapojaribu kukimbia umaskini na ukandamizaji nchini mwao, wanasafirishwa kimagendo kuelekea China ambapo wanageuzwa kuwa watumwa wa kingono. Kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa na shirika lisilo la kiserikali kwa jina Korea Future Initiative lenye makao yake mjini London, ukandamizaji wa kingono unaofanywa dhidi ya Wakorea […]

Je, tunajifunza chochote kutokana na majanga ya majini

Image caption Ajali ya kivuko cha MV Nyerere ambayo iliua zaidi ya watu 200 Ni miaka 23 tangu kisa cha ajali ambayo inatajwa kuwa mbaya zaidi katika karne kutokea barani Afrika katika ziwa victoria nchini Tanzania. Ni janga ambalo lilisababisha idadi kubwa ya watu wapatao 1000 kupoteza maisha baada ya meli ya Mv Bukoba kuzama. […]

Maafisa wa Kenya waenda Dubai kufuatilia kashfa ya dhahabu bandia

Wakati huohuo, pirikapirika zinaripotiwa bungeni za kusaka saini ili kumtimua waziri wa usalama wa taifa, Fred Matiangi, kwa madai ya kuwalinda watuhumiwa wa kashfa hiyo. Polisi nao wanashikilia kuwa maafisa wao waliokuwako kwenye eneo ilikopatikana dhahabu hiyo bandia walikuwa wanawalinda wanadiplomasia na wala sio wahalifu. Maafisa wa idara ya ujasusi walitazamiwa kusafiriĀ jioni ya Jumanne (21 […]

Timu ya La Liga Sevilla FC kutua Tanzania kwa mpambano wa kirafiki dhidi ya Simba SC

Haki miliki ya picha EPA Timu ya La Liga Sevilla FC ipo njiani kuelekea Tanzania kwa mpambano wa kirafiki dhidi ya vinara wa ligi ya Tanzania Simba SC. Mapema leo, timu hiyo ya ligi ya Uhispania imeondoka kuelekea Tanzania kwa mchuano wa kirafaiki dhidi ya timu ya Tanzania Simba SC Alhamisi wiki hii. Mpambano huo […]

Javad Zarif: Vitisho vya Marekani haviwezi 'kuangamiza' Iran

Haki miliki ya picha Reuters Image caption Mohammad Javad Zarif amesisitiza kuwa Iran haitaki vita na Marekani Waziri wa maswala ya kig ni nchini Iran Javad Zarrif amepuuzilia mbali madai ya rais Donald Trump ya kuiangamiza Iran na kumuonya kutolitishia taifa hilo. Huku kukiwa na hali ya wasiwasi , bwana Trump alituma ujumbe wa Twitter […]

Huawei kutotumia Android: Afrika inaathirika namna gani?

Haki miliki ya picha Getty Images Bara la Afrika kuna takriban watu milioni 400 wanaotumia mtandao na kati ya hao kuna 60% wanatumia mfumo wa Android ambao ndio unatumikwa kwa simu kama za Huawei. Ikiwa na soko lenye ukubwa wa takribani asilimia kumi na sita duniani, kampuni hiyo inatajwa kuwa katika nafasi nzuri ya kuwa […]

Angola kuuzika upya mwili wa Savimbi

Taarifa iliyotolewa jana (Mei 20) na Waziri wa Nchi Pedro Sebastiao ilieleza kuwa mazishi hayo yangelifanyika baada ya vipimo vya vinasaba kuthibitisha kuwa mabaki hayo ni ya Savimbi. Savimbi, ambaye alipigana dhidi ya serikali ya kisoshalisti ya Angola katika vita vya wenyewe kwa wenyewe vya miaka 27, aliuawa tarehe 22 FebruariĀ 2002 katika mapambano dhidi ya […]