Category: Uncategorized
Shirika la Save The Children latahadharisha uhaba wa chakula Somalia
Shirika hilo linasema uzalishaji wa chakula na mboga unatarajiwa kushuka kwa asilimia 80 mnamo msimu huu. Mapato kutoka biashara kuu…
Virusi vya Corona: Je, China, Urusi na Israel zinatumia chanjo ya corona kwa malengo ya kisiasa na kidiplomasia?
Dakika 6 zilizopita Chanzo cha picha, Reuters Maelezo ya picha, China, Urusi na Israel zinazoshtumiwa kutumia fursa ya kuwa na…
Waziri mkuu wa Libya kuanza ziara ya Uturuki
Waziri mkuu wa Libya, Abdulhamid Dbeibeh, na ujumbe wa mawaziri atafanya ziara ya kwanza ya Uturuki, Jumatatu kwa mujibu wa…
Prince Philip: Jamii za Vanuatu zianazoomboleza kifo cha 'mungu' wao
Dakika 11 zilizopita Chanzo cha picha, Reuters Maelezo ya picha, Prince Philip aliwasiliana na wanakijiji kwa miaka iliyopita, na alituma…
Kiongozi wa upinzani Tanzania ataka katiba mpya
Mbowe, mwenyekiti wa chama kikubwa cha upinzani,Chadema kupitia hotuba yake hiyo iliyogusia hali ya taifa,alisema katiba ya sasa inampa mtu…
Cameroon yapata chanjo ya Covid-19 kutoka China
Cameroon Jumapili imepokea dozi 200,000 za chanjo ya Covid-19 aina ya Sinopham kutoka China, ambayo ni chanjo ya kwanza kuwasili…
Iran yadai kushambuliwa kimtandao na Israel
Kinu hicho kilichopo katikati mwa Iran ambacho, pamoja na mambo mengine kinatengeneza vifaa vya urutibishaji wa madini ya urani. Kutokana…
Benin na Chad zafanya uchaguzi uliosusiwa na upinzani
Raia wa Chad wamepiga kura katika uchaguzi wa Urais jana Jumapili huku Idriss Deby Itno akielekea kushinda muhula wa sita…
Laschet na Soeder wawania nafasi ya Merkel
Armin Laschet wa Christian Democratic Union – CDU na Markus Soeder, mkuu wa chama dada cha Christian Social Union –…
Prince Philip: Siku Mtawala wa Edinburgh aliyofunga ndoa na Malkia na Malkia Elizabeth mwaka 1947
Prince Philip: Siku Mtawala wa Edinburgh aliyofunga ndoa na Malkia na Malkia Elizabeth mwaka 1947 Kwa miongo saba, wawili hao…