Daktari Scott Green ajiunga na kesi kupitia Zoom huku akimfanyia mgonjwa upasuaji


Daktari Scott Green kulia alisisitiza kuwa anaweza kunedelea kusikilizwa kwa kesi hiyo

Maelezo ya picha,

Daktari Scott Green kulia alisisitiza kuwa anaweza kunedelea kusikilizwa kwa kesi hiyo

Daktari mmoja, katika jimbo la California alijiunga na kesi ya uvunjifu wa sheria barabarani kupitia mtandao wa Zoom huku akimfanyia mgonjwa upasuaji.

Scott Green aliyekuwa amevalia mavazi ya kufanya upasuaji, tayari alikuwa katika chumba cha upasuaji wakati alipojiunga na mahakama kusikiliza kesi dhidi yake mtandaoni siku ya Alhamisi, Sacramento Bee iliripoti.

Alipoulizwa na jaji, Bw. Green alisema anaweza kuendelea na kesi, na kuongeza yuko na “mpasuaji mwingine ambaye anashirikiana naye”.

Jaji alisema haitakuwa “sawa” na kuahirisha kesi.Source link

Author: mas

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *