Davido,Rotimi wang'ara katika filamu ya 'Coming to America'


d

Sehemu ya pili ya filamu ya Eddie Murphy ya Coming to America imeanza kuoneshwa Nigeria, Afrika Kusini na maeneo mengine duniani.

Filamu hiyo mpya inayoitwa ‘Coming 2 America’ imewahusisha waigizaji wakuu kama Murphy, James Earl Jones, Arsenio Hall, Shari Headley na John Amos.

Filamu hiyo iliyozinduliwa rasmi Marekani mwishoni mwa wiki, ina wahusika wengi kutoka Afrika wakiwemo wasanii maarufu.

Mwanamuziki maarufu wa Nigeria Davido ameshiriki katika filamu hiyo akionekana anatoa burudani.Source link

Author: mas

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *