Homa ya nguruwe: Uchunguzi wafanyika Tanzania


Tayari Serikali ya Wilaya ya kahama imepiga marufuku biashara na ulaji wa nguruwe katika eneo hilo ikilenga kutafuta kiini cha ugonjwa huo ambao umeua zaidi ya nguruwe 500 mpaka sasa.

Mkuu wa Wilaya ya Kahama Anamringi Macha amesema, mpaka sasa hakuna mtu aliyethibitika kuathirika, lakini madhara ya homa hiyo, imefanya serikali ya wilaya yake, kuchukua hatua za haraka.Source link

Author: mas

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *