Jamii ya Makonde inalazimika kuzika maiti katika ardhi ya kukodisha Pwani ya Kenya


Mzee Nguli ni mwenyekiti wa Jamii ya Makonde ambayo licha ya kupewa uraia wa Kenya haina ardhi hata ya kuwazika wapendwa wao.

Anasema jamaa zake ambao wanaishi pwani ya Kenya wanalazimika kulipa kiwango kidogo cha fedha kwa majirani ili kupata eneo la kuzika.

Wamakonde walihama kutoka Msumbiji enzi za ukoloni kuja Kenya na kufanya kazi katika mashamba ya miwa.

Serikali ya Kenya iliahidi kuwapatia hati za kumiliki shamba lakini haijafanya hivyo.Source link

Author: mas

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *