Jinsi masai wanavyoweza kuishi pamoja na simba


s

Katika jamii ya kimasai kuua Simba ni jambo linalokufanya upate heshima.

Lakini sasa toka mamlaka zinazoangalia hifadhi nchini Kenya wameweza kurudisha amani kati ya Wamasai na Simba.

Kwa muda mrefu Meiteranga Kamumu Saitoti amekuwa na ndoto za kuja kuua simba.

Akiwa bado kijana mdogo wa aliyeishi kusini mwa Kenya, eneo lenye simba wengi, Kando ya hifadhi ya Amboseli maarufu kwa kuwa na tembo pamoja na simba wengi na taswira ya mlima Kilimanjaro kwa mbali.Source link

Author: mas

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *