Jinsi msichana mmoja alivyomchoma moto mpenzi wake Nigeria


Elvis Chidinma Omah, before and after im ex girlfriend set fire for im house
Maelezo ya picha,

Elvis Chidinma Omah, kabla hajaunguzwa na mpenzi wake

Piga picha umelala na mpenzi wako ukiwa umemuegemea, ambaye kabla ya kulala mlikuwa na furaha tu na ghafla unaamka na kujikuta umeungua.

Hii ndio simulizi ya Elvis Chidinma Omah, mtaalamu wa madawa huko mjini Makurdi, katika jimbo la Benue , katikati magharibi mwa Nigeria.

Elvis Chidinma Omah na mpenzi wake mwenye umri wa miaka 17-wamekuwa katika mahusiano ya mapenzi kwa kipindi cha miaka mitatu.

Kila siku penzi lao lilikuwa linakuwa na walihaidiana kuishi pamoja milele, walihaidiana kuoana na kifo ndicho kitakachowatenganisha.Source link

Author: mas

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *