Kambi mbili za wakimbizi wa Mali zafungwa Niger


Umoja wa Mataifa umesema kufungwa kwa kambi hizo Desemba 2019 ulikuwa uamuzi wa pamoja wa shirika la wakimbizi la Umoja wa Mataifa na serikali ya Niger na likaharakishwa mwaka jana kufuatia kuzorota kwa hali ya usalama.

Kambi hizo katika maeneo ya Tabarey Barey na Mangaize ziliwahifadhi Wamali wanaokimbia machafuko katika nchi yao tangu mwaka wa 2012. Eneo la Magharibi mwa Niger  hushuhidia mashambilizi ya mara kwa mara ya makundi ya itikadi kali.

Mashambulizi katika kambi za Tabarey Barey na Mangaize yaliwauwa wakimbizi 10 na maafisa wa jeshi la Niger waliokuwa wakitoa ulinzi kati ya 2014 na 2016.Source link

Author: mas

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *