Kura ya kutokuwa na imani na Rais Trump: Je, ni nini kinachofanyika baada ya rais kupigiwa kura hiyo Marekani?


Bill Clinton in 1998

Rais wa Marekani Donald Trump amekuwa rais wa kwanza katika historia kushitakiwa mara mbili na Bunge la Wawakilishi – na anasalia kuwa mmoja kati ya watatu ambao tayari wameshtakiwa.

Fahamu kilichowakuta wengine.

Andrew Johnson

Maelezo ya picha,

Andrew Johnson alikuwa rais wa kwanza wa Marekani kushtakiwa

Chini ya kivuli cha vita vya wenyewe kwa wenyewe, Rais Andrew Johnson – wa Demokratic – alizozana mara kwa mara na bunge ambalo lilikuwa linadhibigtiwa na chama cha Republican – bungeni kuhusu namna ya kujenga upya eneo la kusini la Marekani liloshindwa.Source link

Author: mas

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *