Kura ya maoni Uswizi: Wapiga kura waunga mkono marufuku ya kuvaa hijabu


Mabango yaliowqekwa na na chama cha Swiss Peoples Party yalimuonesha mwanamke akiwa amevalia nikabu nyeusi ikiwa na maneneo sitisheni itikadi kali katika Uislamu

Maelezo ya picha,

Mabango yaliowqekwa na na chama cha Swiss Peoples Party yalimuonesha mwanamke akiwa amevalia nikabu nyeusi ikiwa na maneneo sitisheni itikadi kali katika Uislamu

Uswizi imepiga kura ya kuunga mkono marufuku ya kuvaa hijabu katika maeneo ya umma ikiwemo burka na niqab zinazovaliwa na wanawake wa dini ya Kiislamu.

Matokeo rasmi yanaonesha kwamba waliounga mkono kura hiyo ya maoni iliyofanyika Jumapili ni asilimia 51.2 huku idadi ya waliopinga ikiwa ni asilimia 48.8.

Mswada huo uliwasilishwa na mrengo wa kulia wa chama cha Swiss People’s Party (SVP) ambacho kilifanya kampeni yake kwa kutumia misemo kama vile “Sitisha itikadi kali”.

Kundi kubwa la Kiislamu nchini Uswizi limesema kuwa hiyo ni “siku ua huzuni kubwa” kwa Waislamu.Source link

Author: mas

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *