Kwa nini ni muhimu kwa mwananchi kushiriki katika mchakato wa bajeti ya serikali?


Katika haba na haba wiki hii, tunaangazia ni kwa namna gani wananchi kushiriki katika mchakato wa bajeti na nini umuhimu wa kuwashirikisha wananchi? Amabapo tutasikia visa mbali mbali pamoja na majibu ya serikali ambapo tutahoji serikali inafanya nini katika kuhakikisha inashirikisha wananchi kwenye mchakato wa kutunga bajeti ya serikali?Source link

Author: mas

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *