Kwa nini wanawake wazee wanabaguliwa kazini?


Tricia Cusden

Maelezo ya picha,

Tricia Cusden alianzisha kampuni yake ya vipodozi akiwa na miaka 60

“Punde wanawake wanapoanza kuonesha dalili ya kuzeeka, huwaonekani tu kuwa hawana tena mvuto pekee, bali pia uwezo wao katika kazi pia unatiliwa shaka,” anasema Bonnie Marcus mwenye umri wa miaka 72.

Mwanzilishi huyo wa chuo cha uongozi cha Bonnie Marcus mjini Santa Barbara, California, anawapa mafunzo wanawake jinsi ya kujiendeleza katika taaluma zao wakiwa na umbra wowote.

Anahoji Dhaka potovu inayowakabili wanawake akisema kuwa wanawake wakumbana na ubaguzi mara mbili katika maisha yao wanapozeeka, wa kijinsia na wa kuzeeka.

Tricia Cusden ambaye ni mwanzilishi wa vipodozi vya Look Fabulous Forever,ambayo inalenga wan awake walio na umri mkubwa anasema.

“Mimi nina Miaka 72 na ninafanya kazi kwa bidii utadhani sijawahi kufanya kazi tena,” sanaongeza kuwa. “Ukwili ni kwamba umri wangu mkubwa ni unaninufaisha. Ni mtaji wangu mkubwa,” anasema kwa kujiamini.

Maelezo ya picha,

Wanawake walio na umri mkubwa wanakabiliwa na ubaguzi wa kijinsia na pamoja na uzee, anasema Bonnie Marcus

Tricia aliacha kazi kama mkufunzi katika ulimwengu wa kuajiriwa akiwa na miaka ya sit-in na kadhaa kumhudumia mjukuu wake aliyekuwa mgonjwa wakati huo. Lakini alipopata nafuu Tricia hakuhitajika tena na alijihisi hana manufaa yoyote maishani.

“Nilihisi nimepoteza muelekeo. Sikuwa na maisha tena. Na nilijiuliza kama kweli nitaishi miaka mingine 30.”

Umoja wa mataifa unasema idadi ya watu walio na zaidi ya miaka 65 inaendelea kuongezeka zaidi ya watu katika makundi mengine. Inakadiriwa kuwa idadi hiyo itaongezeka mara mbili katika miaka 3o ijayo, huku wale wail na miaka 80 ikitarajiwa kuongezeka mara tatu.

Lakini licha ya makadirio hayo ya kutoka Umoja wa Mataifa, Takwimu za shirika linalowahudumia wazee nchi Uingereza zinaonesha kuwa uzee ni aina ya ubaguzi uliokita sana bara Ulaya- na wanaoathirika zaidi ni wanawake.

“Inashangaza sana,” anasema Bonnie. “Ukionekana mzee, hasa ukiwa mwanamke, hauna thamani tena. Jamii inaabudu ujana na urembo.”

Tricia hakujaribu kurudi kazi tena. Badala yake, aliamua kuanzisha kampuni mpya – ya vipodozi kwa wanawake walio na umbra mkubwa. Licha ya kuonywa kwamba hatafaulu – na mwanamume anayepanga vipodozi vya hali ya juu katika duka moja la urembo – miaka saba baadae sasa anamiliki biashara inayomletea faida ya mamilioni ya panda za Uingereza.

“Nilimwangalia na kumwambia kimoyo moyo kwamba, ‘Wewe, mwanamume ni mpuzi sana!'” Anasema akielezea, jinsi wazo hilo hata kama ni zuri kiasi gani tayari makampuni makubwa ya urembo yametahmini ubora wake kibiashara na kuachana nayo.

Maelezo ya picha,

Tricia akiwaonesha wanawake jinsi ya kujipaka vipodozi kwenye YouTube

Hakuwa sahihi kabisa. Mtandao wa YouTube wa Tricia, ambao amekuwa akitumia kuwasiliana na wateja kila siku unapokea mamilioni ya maoni. Na kind lake la wafanyakazi 10 wa A Look Fabulous Forever wanapokea mambo ya kuwasilisha bidhaa kila leo.

Tricia ni mmoja wa wanawake ambao ameunga mkono masuala ya urembo kwa wanawake wote bila kujali umri wao,lakini kimataifa wanawake walio na umri mkubwa hawana uwakilishi katika sekta zingine za ajira, huenda wasiajiriwe ikilinganishwa na wanaume wazee,kwa mujibu wa shirika la Marekani linalopigania maslahi ya wazee.

Wanaume wamashikilia nafasi nyingi zauongozi katika sehemu tofauti duniani, iwe ni kama viongozi wa nchi ma wa mashirika makubwa. Ukweli ni kwamba wanawake wanasihkilia, asilimia saba pekee ya afise wakuu watendaji 500 wa mashirika nchini Marekani na asilimia tano ya maafisa wake watendaji 100 nchini Uingereza.

“Zaidi ya usawa, hawana manufaa yoyote yoyote kiuchumi,” anasema Bonnie Marcus. “Kampuni zinastahili kujua kuwa wanawake walio na zaidi ya miaka 50 wana uwezo mkubwa.”

Kuwajumuisha watu walio na umri mkubwa katika sekta za ajira kunaimarisha pato jumla la kitaifa, kwa mujibu wa kampuni ya uhasibu ya PwC.

Maelezo ya picha,

New Zealand’s Dr Karanina Sumeo says the country has some great female business leaders

Katika utafiti wake wa hivi karibuni inayojulikana kama Golden Index Age, ambayo inaangazia jinsi nchi zinavyotumia nguvu kazi ya watu walio na umri mkubwa katika soko la ajira, ilibaini kuwa nchi 37 katika makampuni ya ukuzaji uchumi na ushirikiano wa kimaendeleo ziliongeza viwango vya ajira kwa watu walio na zaidi ya miaka -55 hadi kiwango cha New Zealand, manufacturing ya mud mrefu katika ongezeko la pato jumla la serikali linaweza kufikia dola trilioni 3.5 sawa na (£2.7tn).

New Zealand imekuwa ikiongoza katika ujumuishaji wa wanawake na watoto katika kila sekta, iwe ni ya uongozi wa mashirika ama wa kisiasa, ikizingatiwa kwamba inaongozwa na na Waziri Mkuu mwanamke, Jacinda Ardern, tangu 2017.Source link

Author: mas

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *