Kwanini saluni hii ina muonekano wa matatu?


Matatu ni usafiri wa Umma mjini Nairobi ambao mabasi yake yana muonekano wa aina yake kwa kuwa na michoro ya picha za kuvutia na muziki mkubwa.

Katika picha hiyo, hilo ni jengo la saluni ingawa ukiliona unaweza kudhani umepishana na daladala au gari la abiria maarufu kama matatu mjini Nairobi.

Lakini kwa nini saluni hii ilibuniwa kwa jengo lenye taswira ya matatu?Source link

Author: mas

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *