Majeruhi sita wa ajali ya moto Tanzania waaga duniaMajeruhi hao walikuwa wanatibiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Moto huo ulizuka baada ya lori la mafuta kuwaka moto.

Msemaji wa MNH, Aminiel Aligaesha amesema kwa sasa wamebaki majeruhi 32. Majeruhi 17 kati yao wako katika chumba cha uangalizi maalum (ICU) huku wengine 15 wakiendelea kupatiwa matibabu.

Hospitali hiyo imeendelea kuwaomba watu kuendelea kujitolea damu kwa kuwa bado kunauhitaji mkubwa.

Imetayarishwa na mwandishi wetu, Washington, DC.Source link

Author: mas

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *