Masaibu ya nzige Kenya


Nzige limekua ni tatizo kubwa kwa wakulima katika baadhi ya maeneo nchini Kenya, huku wakulima wakihofia kuwa wadudud hao waharibifu wanaweza kusababisha njaa na umaskini. Mwandishi wa BBC Anne Soy alitembelea katika Kaunti ya Turkana kushuhusia hali ilivyo.Source link

Author: mas

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *