Matokeo ya uchaguzi Tanzania 2020: Kauli ya vyama vya upinzani


Vyama vikuu vya upinzani nchini Tanzania Chadema na ACT-Wazalendo vinataka kurejewa kwa Uchaguzi Mkuu nchini humo.

Vyama hivyo viwili vinapinga matokeo ya uchaguzi wa Jumatano ambapo rais aliye madarakani John Magufuli amekwishatangazwa mshindi.

Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe ameeleza kuwa: ”kilochofanyika si uchaguzi ni unyang’anyi wa demokrasia uliofanywa na ZEC (Tume ya Uchaguzi Zanzibar) na NEC (Tume ya Taifa ya Uchaguzi) .”Source link

Author: mas

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *