Mlipuko mkubwa Equatorial Guinea: Watu 15 wadaiwa kufariki


Mlipuko

Watu takriban 15 wamefariki dunia huku wengine zaidi ya 100 wakipata majeraha katika mfululizo wa milipuko iliyotokea nchini Equatorial Guinea, Wizara ya afya imesema.

Baadhi ya watu 500 walijeruhiwa kufuatia milipuko hiyo iliyotokea karibu na kambi za wanajeshi mji mkuu wa Bata Jumapili.

Milipuko hiyo imesababishwa na “uzembe” uliohusishwa na hifadhi ya baruti kali kambini, rais amesema.

Picha kwenye mitandao ya kijamii zinaonesha moshi mkubwa na uharibufu uliotokea.Source link

Author: mas

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *