Mpango wa nyuklia wa Iran: Viongozi wa Ulaya waanzisha mchakato wa kujiondoa


HABARI ZA HIVI PUNDE

Viongozi wa Ulaya wameanzisha mchakato wa kuingiza kwenye mzozo mpango wa nyukilia wa Iran, baada ya nchi hiyo kulegeza msimamo wake kuhusu mpango huo.

Iran ilijiondoa katika masharti yaliyofikiwa katika mkataba huo yanayodhibiti viwango vya uzalishaji madini ya urani, ambayo inaweza kutumiwa kuunda silaha za nyuklia.

Imesema hivyo kujibu vikwazo vipya ya Marekani dhidi yake ilipojiondoa katika mkataba wa nyukli mwaka 2018.

Ufaransa, Ujerumani na Uingereza zimesema hazijaridhishwa na hoja ya Iran.

Tutakufahamisha zaidi kuhusiana na taarifa hii kadiri zinavyojiri.Source link

Author: mas

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *