Othman Masoud ateuliwa kuwa mrithi wa Maalim Seif Sharif Hamad


Othman Masoud ateuliwa kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, kuchukua nafasi ya Maalim Seif Sharif Hamad aliyefariki tarehe 17 mwezi Februari mwaka mwaka huu.

Uteuzi wa Masoud umefanywa na Rais wa Zanzibar, Dkt Hussein Mwinyi baada ya mashauriano na chama cha ACT-Wazalendo. Masoud amewahi kuhudumu katika nafasi za ngazi za juu katika serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ikiwemo mwanasheria Mkuu wa serikali.Source link

Author: mas

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *