
Picha milioni 425 za jua zilizonaswa katika kipindi cha miaka 10 na kwa sekunde 0.75
Kwa zaidi ya miaka 10, Shirika la Nasa la kuchunguza anga za juu la Solar Dynamics Observatory (SDO) limechunguza Jua na kupiga picha milioni 425 kwa sekunde 0.75 katika mizunguko yake .