Robben arejea dimbani katika timu yake ya zamani


Na mojawapo ya sababu za kujiunga nayo ni “mapenzi ya klabu”. Robben mwenye umri wa miaka 36 aliondoka Bayern Munich mwaka mmoja uliopita na kutangaza kutundika daluga. “Kwa sasa, nadhani imepokelewa vizuri na watu hapa na ndio maana lazima iwe wazi na nitabaki kuwa wazi kuhusu hilo katika wiki zijazo na miezi, au huenda safari hii ikaisha baada ya mwezi mmoja lakini labda itaisha miaka miwili kutoka sasa. Au katikati ya hapo. huenda.” Amesema Robben

Winga huyo pia aliwahi kuzichezea Chelsea, PSV Eindhoven na Real Madrid, huku akishinda mataji 12 ya ligi na kucheza mechi 96 za timu za taifa ikiwa ni pamoja na fainali ya Kombe la Dunia la 2010 mjini Johanesburg.Source link

Author: mas

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *