Tanzania yatoa ufafanuzi kuhusu mahindi kupigwa marufuku Kenya


Serikali ya Tanzania imesema kwamba tamko la kuzuia mahindi yake kuingia nchini Kenya halikufanywa na serikali ya Kenya bali taasisi ambayo hata hivyo majibu yake hayakuwa sahihi.

Katika mahojiano na BBC, waziri wa biashara wa Tanzania Profea Kitila Mkumbo amesema majadiliano baina ya pande mbili yanaendelea ili biashara hiyo kubwa kati ya nchi hizo mbili irejee katika hali ya awali.Source link

Author: mas

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *