Tetesi za soka Ulaya Jumatatu 08.03.2021: Salah, Brownhill, Gerrard, Christensen, McCormick, Hamsik


Mohammed Salah

Liverpool inapaswa kumuuza mshambuliaji wa Misri Mohammed Salah iwapo hafurahii kuwa katika klabu hiyo , kulingana na nahodha wa zamani wa klabu hiyo Robbie Fowler. (Mirror)

Haiepukiki kwamba The Reds itampoteza mmoja ya washambuliaji wake watatu , akiwemo Salah, Sadio Mane au Roberto Frmino wa Brazil mwisho wa msimu huu, alisema mshambuliaji wa zamani wa jamhuri ya Tony Cascarino. (Talksport)

Aliyekuwa mwenyekiti wa klabu ya Rangers Dave King anasisitiza kuwa hakuna nafasi ya mkufunzi Steven Gerrard kuondoka Ibrox ili kuwa mkufunzi wa Liverpool katika siku za usoni. (Glasgow Times)

Maelezo ya picha,

Steven Gerrard

Chelsea inapanga kumpatia beki wa Denmark Christensen, 24, kandarasi mpya. (Telegraph)Source link

Author: mas

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *