Thembi Nkambule: Mwanamke mwenye ukimwi anayewasaidia wengine 'kufa kifo kizuri'


Thembi Nkambule

Thembi Nkambule amekuwa akiwahudumia mamia ya watu wanaofariki kutokana na Ukimwi Eswatini – nchi ambayo mtu mmoja kati ya wanne ana HIV. Haya ndio mambo aliyojifunza juu ya maana ya “kifo kizuri”.

Thembi anaangazia vifo vya aina tatu.

Cha kwanza ni kile ambacho ni cha kawaida. Mtu anamwangalia machoni na kusema peupe “Imeisha. Nimekata tamaa.” Thembi anashudia wanapofunga macho na kuaga dunia. Maisha walioishi kisiri yakiisha kwa fedheha. Hiki ni kifo kibaya.

“Alafu kuna aina ya pili ya kifo,” Thembi anasema. “Mtu ana ujumbe, au tahadhari, kwa watu anaowaacha nyuma. Kuna somo walilojifunza ambalo wanataka kuwasilisha.”Source link

Author: mas

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *